Wawili hao
wanakabiliwa na mashitaka mbalimbali kuanzia 25 hadi 28 likiwemo lile la
matumizi mabaya ya ofisi na utakatishaji wa fedha.
Hakimu Mkazi Mkuu wa
Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri alisema upande wa utetezi
wenyewe wanatambua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.

EmoticonEmoticon