Thursday, 22 June 2017

RASMI:Mohammed Salah Asaini Miaka Mitano Lierpool

Tags

                            
FARAO Mohammed Salah, 25,amesaini mkataba wa miaka Tano na timu ya Majogoo wa London Liverpool,ambapo alikuwa akiwindwa vikali na Kocha wa Majogoo hao Jurgen Klop.

Kiungo huyo anakuwa mhezaji ghali wa Afrika katika siku za hivi karibuni kusajiliwa na Liverpool ambapo mwaka 2011 ilitumia  Pauni Milioni 35 kumsajiaalaia Muingereza Andy Carroll ambapo hapo awali Liverpool ilimsajili Sadio Mane na kuwa Mchezaji ghali wa Afrika Kusajiliwa na Timu hiyo.

Mohamed Salah mwaka 2014 alikuwa mbioni kujiunga na Liverpool kabla ya kocha wa wakati huo wa Chelsea Jose Mourinho kuingilia kati dili hilo na kimsajili yeye.

Kocha wa Liverpool Jorgrn Klop amesema "ni mchezaji mzoefu na ataongeza nguvu,huu ni usajili muhimu sana kwetu sasa"

"Nilikuwa namfuatilia tangu yupo Basle  na sasa amepevuka na kuwa mchezaji bora zaidi"aliongeza Klop. 

Salah msimu uliopita Salah aliisaidia  timu ya Roma kushika nafsi ya pili akifunga magoli 15 katika mechi 31.

Mohammed Salah atavaa jezi namba 11 akiwa na majogoo hao ambapo amempoka Robert Firmino jezi hiyo na sasa Firmino atavaa  jezi namba 9.



EmoticonEmoticon