Thursday, 22 June 2017

Safari ya Mwisho ya Ally Yanga....Buriani Mpambanaji

Tags



Aliyekuwa shabiki maarufu wa Yanga, Ally Said amezikwa leo kwao mjini Shinyanga.



Ally maarufu kama Ally Yanga alifariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Mpwapwa, Dodoma, juzi.

                                       
Shabiki huyo alikuwa maarufu kwa kujipaka masizi na kuweka kitambi cha bandia pale alipokuwa uwanjani akiishangilia Yanga na wakati mwingine timu za taifa.

 



BURIANI ALLY.



EmoticonEmoticon