Friday, 7 July 2017

Picha Zikionesha Pogba na Lukaku Wakifanya Mazoezi Pamoja kwa Ajili ya Kuitumikia MAN U Msimu Ujao

Tags

                                                
Mhariri wa  Habari za Michezo wa Manchester United Samuel Luckhurst alizikuta picha hizo katika Akaunti ya Instagram ya Kiungo wa Timu hiyo Paul Pogba.

Picha hizo zinaonesha kiungo huyo akifanya Mazoez na Msambuliaji huyo Raia wa Ubelgiji ambaye hivi karibuni alisema kwamba yupo njiani kutoa kwa Mashetani hao Wekundu






EmoticonEmoticon