BEKI wa Manchester United, Eric Bailly amesema kwamba
ulikuwa uamuzi sahihi kwake kutua kwenye mikono ya Jose Mourinho na kukataa ofa
nyingine zilizoletwa mbele yake.
Bailly amefichua kuwa kabla ya Jose Mourinho
kumwitaji, alishapewa ofa nyingi za kutua Etihad. Beki huyo raia wa Ivory Coast
anaweza kuwa kwenye wakati mgumu msimu ujao baada ya klabu hiyo kumsajili beki
mwingine, Lindelof.

EmoticonEmoticon